Skip to main content

Going to cross river Yalu

 Chini ya kampuni ya kichina itwayo Bona group Wana kuletea hi filamu yenye storia just ya China na Korea katika mpaka wa mto yalu.

Ni muvi inayoonyesha jinsi wachina walivyo pambana Vita Kati ya mwaka 1950-1953 

Japo China ili pata ushindi lakini walipoteza watu wao muhimu sana na nguvu kazi ya taifa 


Hapo ilikuwa katika sherehe za wastafu wa jeshi la China walio pambana na wakorea katika hiyo vita hakika usikose posti zijazo zitakazokipa washiriki na historian zao 

Usikose mtu wangu 

Comments